kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Sir robby

    JamiiForums Tanzania CCM jifunzeni Kenya upatikanaji na utendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi, msione aibu

    Wakati umefika kwa chama kikongwe Afrika kubadilika. Ni miaka 61 TANU/CCM kipo madarakani huku ikitumia mifumo ya chama kimoja cha siasa wakati nchi ipo kwenye Mfumo wa Vyama Vingi. CCM na Serikali yake imekuwa ikiendesha nchi kwa kutumia Katiba ya Chama Kimoja kwa Vyama Vingu vya Upinzani na...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi na saba (17) ya bonde la mto Nile - Nairobi, Kenya

    MIAKA KUMI NA SABA (17) YA BONDE LA MTO NILE - NAIROBI, KENYA. Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) ambaye ni Naibu Waziri wa Maji mnamo tarehe 22 Februari 2023 ameiwakilisha Tanzania katika sherehe za miaka 17 ya Bonde la mto Nile Jijini Nairobi Kenya mkutano uliojumuisha nchi Kumi na Moja...
  4. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya uchumi chini ya Rais Samia inazidi kulipa. Rostam ruksa Kenya

    Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo. Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake. Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya msingi ya Diaspora wa Kenya kuwa na haki tofauti na wa Tanzania!

    Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania 1. Je unataka Watanzania wazawa ambao wako nje (Disapora) wapate haki sawa kwenye jumuia ya Africa mashariki kama wenzao wa Kenya na nchi...
  8. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
  10. DustBin

    JamiiForums Tanzania Tulifikirie suala la Sarafu moja kati ya Tanzania na Kenya

    Kenya na Tanzania mambo mengine kila mmoja afanye kivyake, lakini hili la shilingi moja tulifikirie. Tuwe na shilingi moja jamani, itatufaa sana! Hoja Binafsi.
  11. mBONEASenior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

    Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana. Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Falsafa za Hayati Magufuli zatawala Kenya, ibada za Jumapili zatumika kuhutubia Taifa!

    Sukuma Gang mnaweza kujifariji walau jirani Kenya wanatembea na falsafa za Shujaa Magufuli; 1. Wabunge wanaunga Juhudi za Dr. Ruto. 2. Hotuba za Kanisani Jumapili. 3. Matajiri wanalipa kodi. 4. Wanyonge wanapata upendeleo nk.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  15. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya juu Kenya: Huwezi kumshitaki Rais aliyeko madarakani, ni kinyume cha Katiba

    Kwa kuwa jirani na Kenya na kushuhudia yanayotokea itakuwa ni vigumu sana porojo za katiba mpya kueleweka, kukubalika, na kushabikiwa na wananchi wenye akili timamu. ===== Chief Justice Martha Koome led six other judges of the Supreme Court in declaring that the President enjoys immunity...
  16. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

    There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania. Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport. Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni. Sad situation. Mjikakamue kidogo.
  18. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

    Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 14 wafariki katika ajali mbaya ya barabarani Kenya

    Watu 14 wamethibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Kakwamunyen kando ya barabara ya Lodwar-Kakuma Jumamosi usiku . Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, waliofariki ni wanawake wanane watu wazima watatu wa kiume na watoto watatu wa kiume...
Back
Top Bottom