Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,826
2,843
Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki.

SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza wanashughulikia mkataba wa bandari?

Kama Baba Mtakatifu (kama mnavyomuita) anaruhusu baraka kwa wapenzi wa jinsia moja je, ana sifa za kuendelea kuitwa Mtakatifu?

Je, Yesu angekuwepo duniani zama hizi angewabariki na kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja?

Wote Mnakaribishwa.
 
PAPA (POPE) ni mtu muhimu katika kuhakikisha utawala wa shetani unaimarika duniani. Yuko kwenye mfumo wa utawala wa shetani duniani. wengi hawana habari, wanapuyanga tu!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki.

SIJASIKIA kauli ya TEC, je wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza wanashughulikia mkataba wa bandari?

Kama Baba Mtakatifu (Kama mnavyomuita) anaruhusu baraka kwa wapenzi wa jinsia moja je ana sifa za kuendelea kuitwa mtakatifu?

Je YESU angekuwepo duniani zama hizi angewabariiki na kuwafungisha ndoa Mashoga?

WOTE Mnakaribishwa
Mods
Biblia ipo wazi kuhusu swala la ushoga na maovu yote yafanywayo na binadamu.

Mi nadhani kuendelea kuongelea haya mambo ndo lengo haswa la aliyeanzisha haya mambo ya ushoga.

Njia pekee ya kukomesha ushoga ni kuacha kuutafakari na kuuongelea kila saa.
 
TEC hawawezi kamwe kuunga mkono jambo la aina hiyo. Maana haliendani na mila, desturi na tamaduni zetu. Na hata Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi, alitoa tamko kwa upande wake ya kwba jambo kama hilo haliwezi kutokea.

Hivyo tusubiri kwenye salamu za Chritsmas hiyo kesho tarehe 24/12/2023. Naami tamko rasmi kuhusu msimamo wa Kanisa Katoliki Tanzania, litatolewa.
 
Lazima tukemee
 
Kama wanapingana na Vatican je kuna haja ya Africa kuwa na dini zetu zitakazoheshinu utamaduni wetu?

Hao wanaokataa ni wanafiki!

Tangu lini kanisa hili likawa takatifu!!?

Tangu lini!!?

Ulawiti Kwa watoto umeanza kuripotiwa tangu enzi za Benedict was 16 Leo wanakataaje asili yao kwamba wanaabudu mnyama na mnyama ndio joka na joka ni shetani!!?
Naona upo nje ya mada mkuu. Ulawiti na ubakaji wa Mapadri ni changamoto za mtu binafsi sawa na Shehe au Ostadhi kubaka na kulawiti watoto Madrassa. Hakuhusini na uislam ila ni kwa mtu binafsi na hivyo ulawiti wa Mapadri hauhusiani na Kanisa wala sio justification ya kuruhusu ushoga Kanisani.

Hilo la Ushoga, litaenda leta mpasuko huko Roman na kuinua wana matengenezo wengine kama akina Luther. Kwa Umri wangu wa kuishi duniani na wa kutumika kwangu kanisani na wa kumjua kwangu Mungu, hakuna kitu kisicho na sababu chini ya jua hilo limeachwa hadharani ili lilete matengenezo mapya ndani ya Catholic. Sisi Waprotestant yetu macho mkuu.
 
Biblia ipo wazi kuhusu swala la ushoga na maovu yote yafanywayo na binadamu.

Mi nadhani kuendelea kuongelea haya mambo ndo lengo haswa la aliyeanzisha haya mambo ya ushoga.

Njia pekee ya kukomesha ushoga ni kuacha kuutafakari na kuuongelea kila saa
Kwamba njia nzuri ya kukomesha mauaji ya albino au ufedhuli wa panyaroad ni kutoongelea mambo hayo? Kukomesha ukeketaji ni kutoongelea madhara ya ukeketaji? 🤣😂 Hiyo solution alipendekeza Profesa Ndumilakuwili nini? 😆😂
Hizi habari achaneni nazo hazina tija ,nyuzi kibao kuleta mtafaruku baina ya watu..

Mtapiga kelele wiki basi yataisha.
Acha tuwaamshe Wakatoliki waliolala. Yaani wanapelekwa kuangushwa shimoni nasi tusiwape tahadhari?
 
Kama wanapingana na Vatican je kuna haja ya Africa kuwa na dini zetu zitakazoheshinu utamaduni wetu?
Hujakatazwa kuwa na dini yako mkuu. Endelea nayo tu na pia endeleeni na utamaduni wenu wa kuvaa magome ya miti na kunya kwenye mapori huku mkitawazia magunzi ya mahindi na kusugua makalio kwenye mchanga.😀😃😄😁😆

Ungejua hiyo mizimu ya Kiafrika ilivyotufanya usingetamani turudi huko. Ile mizimu ya kichaga kule kikafu imetuletea shida sana kwenye Familia za wachaga wengi.
 
Back
Top Bottom