kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

    Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga. Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Pay Ksh 900 Million Per Month To Kenya Power For Electricity

  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Satelaiti ya Kenya on air

    Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Setilaiti ya kwanza ya Kenya Taifa-1 yarushwa angani baada ya majaribio matatu

    Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani. Space-X ambayo makao yake makuu ni nchini Marekani, na hutengeneza na kurusha roketi za kisasa zaidi kwenye anga za juu zaidi...
  6. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Kenya yafanikiwa kurusha Satelite yake kwenye mzingo wa Dunia kwa kutumia Roketi, Tanzania kufanya hivyo mwaka 2025

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kushindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  7. Mzawa_G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya warusha satellite angani

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kishindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mchungaji akamatwa baada ya Waumini Wanne kufa njaa katika Mfungo

    Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo. Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SpaceX yasitisha urushaji wa Satellite ya Taifa-1 inayomilikiwa na Kenya

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Utafiti wa Masuala ya Anga ya SpaceX, uamuzi wa kusitisha urushaji wa Chombo hicho kilichopewa jina la Taifa-1 kwaajili ya Uchunguzi wa Dunia, umesababishwa na Hali Mbaya ya Hewa. SpaceX ililazimika kusimamisha Roketi ya Falcon 9 sekunde ya 29 tu kabla ya...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

    Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Tutafika mbinguni tumechoka sana. Huyu nae ni muimbaji wa Gospel huko Kenya

    Anaitwa Nica the queen Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

    Avocados have in a recent past become one of Tanzania’s hottest exports with more farmers engaging in what has been christened as the green gold. However, even with production hitting record levels Tanzania is yet to hit the top 10 global producers with much of the production being dominated by...
  16. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hali ya Yesu wa Kenya muda huu

    Jana niliona maandalizi yakifanyika, waliandaa misumari mikubwa, mbao kubwa za msalaba na pia nyundo kubwa Pia kulikuwa na mijeredi, marungu na fimbo nyingi sana. Pia kulikuwa na mikukì standby, naona hii ni ya kumchomea ubavuni akiwa pale juu msalabani. Leo bado sijapata updates za kutoka...
  17. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

    Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to launch first operational satellite on April 10, 2023

    What you need to know: Taifa-1, or Nation-1 in Swahili, is scheduled to be launched on April 10 aboard the SpaceX Falcon 9 rocket from the Vandenberg Space Force Base in California. The observation satellite is "fully designed and developed" by Kenyan engineers. Kenya will launch its first...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

    Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea. Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi. Raila agenda ni zile zile: Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu. Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika. Pia soma > RAILA...
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

    Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho. Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo...
Back
Top Bottom