Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 714
- 1,529
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa.
Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa anaendelea na kazi yake bila kuacha (Yani kazi ya Kuajiriwa maybe na kampuni au Tasisi yeyote) na kama inawezekana kusoma ni taratibu gani?, Inabidi apitie au Afanye Ili awe akisoma Degree yake, Huku akiwa kazini kaajiriwa
Plz mwenye uelewa na Hili anaisadie ndugu zangu.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.