Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji.
Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu.
Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua.
Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya.
Takriban...
Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali.
Leo...
Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu.
Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
Amani iwe nanyi wanajukwaa
Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada.
Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata.
Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu.
Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda...
Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa
Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: -
Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669
Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi...
Wadau habarini!
nimepata barua jana toka utumishi; wamenipa check namba na kunishauri niombe sekretarieti ya ajira au taasisi yoyote inayohusika na ajira serikalini ili waweze kunipangia kazi kulingana na mahitaji yaliyopo. Swali je watakuwa na connection gani ya kutambua kwamba nimeomba? ili...
Hizi Ajira za Sensa ambazo sifa Ni nyepesi Sana. Hivyo waombaji watakua wengi itakayopelekea kuongeza ushindani. Tutarajie matapeli kuiltambaa na beat ili kuwapiga hao "makarani tarajali"
1. Tapeli anatumia Gmail.
2. Mchango @35,000 (malazi na chakula).
3. Picha je?
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.
Uzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?
Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.