Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,765
Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza.

Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi

Huu wimbo utapigwa kwenye maharusi na sehemu za heshima kwa kigezo cha burudani ila bdala yake ni kuharibu mahusiano ya watu

Wasanii wetu hawa sikilizeni wahenga wanasema nini. Shetani asiwatumie kiasi hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom