TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini.
CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
Michael Sarpong
Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya...
Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu pia(kwa kiasi)
Nakumbuka zamani nilikuwa na marafiki wengi sana, shule ya msingi ndio nilikuwa nao...
Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
Habari za mida hii.
Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo,kwa maana ya mtaji mdogo na idadi ndogo ya wateja.Pamoja na hayo nahisi kwamba kuna fursa nyingi ambazo nashindwa kuzitumia ipasavyo kwa sababu tu ya kuwa peke yangu na kukosa support ya watu sahihi.
Hivyo basi nahitaji vijana watatu...
Salaam Wakuu,
Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines.
Mig Welding Machine
Tig Welding Machine
- Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi...
Salamu na Utangulizi
Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini
Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years.
Uzoefu katika mambo yafuatayo:
1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social...
Hello JF,
Nadhani nishawahi kulileta before..
Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu...
Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary...
3-6 Months! za masomo waliyosomea
Hio hela inayotumika kuwa train vijana...
Habarini ndugu zangu.
Naomba kama naweza pata sehemu ya Law firm, nifanye kazi kwa kujitolea kwa kipindi hiki kwani nimemaliza masomo mwezi huu.
Natanguliza shukrani 🙏
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.
Tunaamini yapo...
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imesema kuwa hairuhusiwi mtu yeyote kufanya kazi za kihasibu na kikaguzi bila kusajiliwa na Bodi hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Maonesho ya 15 ya Vyuo Vikuu jijini Dar es Salaam, Afisa Masoko na Mawasiliano wa Bodi...
Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo.
Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi...
POSTCIVIL ARTISAN II - 33 POST
POST CATEGORY(S)HR & ADMINISTRATION
EMPLOYERTANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC)
APPLICATION TIMELINE:2020-09-02 2020-09-16
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Packing of the railway track as directed by the supervisor;
ii.To clear grass and bushes...
Habari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni...
Habari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni...
Habari zenu wadau. Ni hivi nilikuwa nataka kujua kwa mtu aliesomea Civil Engineering anaweza kufanya kazi kwenye Shirika la Reli TAZARA.
Msaada wenu tafadhali.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32
Naishi Dar es salaam
Nimemaliza form six
Nimesomea Air Ticketing
Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation
Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel.
Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba...
POSTARTISAN - MECHANICS - 7 POST
POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYERTANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)
APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Servicing and repairing power generation machines under the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.