kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  2. JamiiForums Tanzania Malipo ya usafiri wakati wa kuanza kazi na kumaliza mkataba

    Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Azam yamfuta kazi kocha wake

    diramakini.co.tz Goli la Yanga SC lamng'oa kocha Azam FC Diramakini 3 minutes Baada ya ushindi wa Novemba 25, 2020 ambao Yanga SC iliuchukua nyumbani kwa Azam FC katika uwanja wao wa Azam Complex uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wachambuzi wa soka...
  5. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana ubongo kutolewa kichwani na kufungwa tumboni, kisha ukafanya kazi yake kwa ufanisi kama upo kichwani?

    Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida. Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nimesoma nursing midwife degree post intern Ila sijapa leseni

    Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado. Nina ujuzi wa computer kiasi Nmefundisha tuition Nimechoma chips Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie Tel 0689052541
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba connection ya kazi

    Mimi ni kijana wa Kiume na nimesoma kozi ya Bachelor of Technology in Laboratory Science kutoka DIT. Ninaweza kufanya kazi kwenye kiwanda chochote kinachozalisha bidhaa au kusindika bidhaa kama mhakiki wa bidhaa hizo. Lakini pia ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi zozote za utafiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kazi Wakuu wangu mwenye connection

    Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya muda (temporary)

    Habari? Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa. - Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100 - Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000 - Watahitajika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani (house boy) ndugu zangu nisaidieni

    Natafuta kazi za ndani (House boy) ninaweza kutunza bustani na kufanya usafi naombeni msaada. Mawasiliano yangu ni 0674709210
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Computer application

    Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer. Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi Awe anatokea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

    Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee. Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
  14. JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Marketing Officer

    INTERNSHIP OPPORTUNITY Position: Assistant Marketing Officer ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction as well as furniture making. Requirements: a) Diploma/...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection za kazi

    Habari Mimi mkazi wa Dar es Salam'Umri 25'Elimu Bachelor Degree. Naamini kuna watu wakubwa humu CEOS/HRs/Manager au watu wenye Connection na hao watu tajwa/Kampuni na Ofisi mbalimbali. Nahitaji Connection ya kupata kazi, elimu yangu Shahada ya elimu (Geography na History) pia nina ujuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

    Dada halima najua uko poa kabisa Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum Napenda kukwambia kuwa hao...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Slogan ya Hapa kazi tu ni bora kuliko za vyama vingine ni rahisi kuielewa na ilisaidia CCM kushinda

    Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au wafanyakazi? Ukiingalia ililenga wafanyakazi wa serikali tu ambao idadi yao ni laki nne tu sio jamii...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

    Habari zenu wakuu, Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  19. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

    Habari wadau, Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa. Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana. 😁😁😁😁😁
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mliobahatika kuomba kazi Home Contruction Company na kupata

    Heshima kwenu wanabodi. Muda huu katika kuperuzi peruzi huku mtandaoni nimekutana na sponsored ads kwa kampuni inayoitwa Home contruction. Inasema ina miaka mitano hapa nchini. Ila binafsi ndio nimekutana nayo. Imetoa nafasi za kazi kwa fani mbali mbali. Kwa nafsi yangu nikasema ngoja nikapply...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…