Kijana mwenye uzoefu wa mauzo na uhasibu anatafuta kazi

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Habari wakuu, (Moderators samahani,natumia link)

Nasaidia kumsambazia ndugu yangu mwenye diploma ya uhasibu na post graduate ya marketing, akiwa amefanya kazi hizi kwa miaka 5, anatafuta kazi mpya baada ya mwajiri wa mwanzo kurudi kwao nje ya nchi na kuhamisha uwekezaji.Kama unayo nafasi au kumjua mtu mwenye kazi hizi ,tafadhali ampigie kwa namba 0742 499 177

Kikubwa ni mbunifu , ana program zaidi ya mbili za marketing, ziitwazo WIFI na AME. Pia Ana program ya uhasibu unayoweza kutumia kwa computer au simu ukiwa popote (i cloud)

Yupo Dar lakini yuko tayari kuhamia mkoa au nchi yoyote kikazi
 

Attachments

  • SOA.png
    SOA.png
    15.5 KB · Views: 2
  • AME.mp4
    13.4 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom