Askari saba wa wanyamapori wafukuzwa kazi Namtumbo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Askari saba wa wanyamapori wa vijiji (VGS) wa jumuiya ya maliasili ya Mbarang’andu iliyoko Namtumbo mkoani Ruvuma wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za kupokea rushwa na kuwaruhusu watu kulima kwenye hifadhi hiyo yenye wanyama mbalimbali wakiwemo Tembo.

Tamko la kufukuzwa kazi kwa askari hao limetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Bi.Sophia Kizigo na kwamba kulima hifadhini kunawaathiri wanyamapori.
 
Back
Top Bottom