kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2. Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Ile floating bridge yenu haifanyi kazi?

    Likoni accident: Driver and conductor saved from sinking tour bus
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ‘Connection’, natafuta kazi CCECC au CRJE

    Wakuu wenye connection katika kampuni za kichina zenye miradi mbalimbali Mhandisi nakuja kwenu. Ninao uzoefu wa kutosha katika Site Supervision na Design, nimejitolea katika miradi kadhaa ya ujenzi wa Barabara na Majengo. Naweza kufanya kazi popote Tanzania na katika usimamizi mdogo na...
  5. JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  6. JamiiForums Tanzania MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  7. JamiiForums Tanzania Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naamini umbea ukitofautishwa na Intelijensia tutapiga hatua kimaendeleo

    Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi? Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

    Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya welding

    Naitwa Steve nipo Songea natafuta kazi ya welding Nina uzoefu wa kuunga vyuma vyepes na vizito Namba yangu 0713861567
  13. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wabantu tunavyoamini uchawi, naamini kuwa Kinjekitile alijua dawa yake itafanya kazi

    Vitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini ushirikina naona kuwa Kinjekitile aliamini dawa yake itafanya kazi. Hadi leo watu wanajikinga kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni Elimu 4rm 4. Chuo NIT nina cheti cha VIP Lesen class A B C1C2 C3 D Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam Mawasiliano 0762 395595
  16. JamiiForums Tanzania Mkumbushe

  17. JamiiForums Tanzania Maswali na majibu ya wadau wa sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma

    Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏 Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Na: Mwesa, C.W DODOMA. 31.12.2020 Ndugu watanzania wenzangu na wanachama wenzangu wa chama pendwa cha watanzania wote na Afrika kwa jumla, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa hakika tunayo mambo mengi ambayo kimsingi tumeyapitia kama taifa kwa jumla na ki-nafsi kila mmoja kwa nafasi yake. Hata...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana Mvietnam aliyeamua kuacha kazi iliyokuwa inamlipa milion 120 kwa siku baada ya kuchoshwa na umaarufu

    Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo mengi hayakuwa yamefanya vizuri maana yeye alikuwa anatengeneza games za 2D wakati dunia ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…