Wakuu naomba connection ya kazi

Kibale Katwenge

New Member
Nov 19, 2020
2
2
Mimi ni kijana wa Kiume na nimesoma kozi ya Bachelor of Technology in Laboratory Science kutoka DIT.

Ninaweza kufanya kazi kwenye kiwanda chochote kinachozalisha bidhaa au kusindika bidhaa kama mhakiki wa bidhaa hizo.

Lakini pia ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi zozote za utafiti wa kisayansi.Kama una mtu unamfahamu na anaweza kuniunganisha niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani na je ya Tanzania.

Kwa sasa niko Dar es salaam.Asanteni
 
Jiunge na group la matangazo ya kazi la telegram mdogo wangu,nmekuwekuea link hapa

Back
Top Bottom