Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

Sirai

Member
Apr 29, 2020
12
6
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.

0689052541
 
Employment opportunities.
Kilimanjaro Hope Foundation together with St. Monica Hospital.
Announces job Vacancies to health care workers MD's,AMO,Lab Technicians and scientists, Pharmacist, Nurses,Medical Attendants etc, to submit their cover letters, Resume, and all academic certificates to be sent via

(maombi.khf@gmail.com)

Note:To be considered , applicants must put the tittle of the job in a subject line, the deadline is 25/11/2020.

Those who do not meet the minimum requirements, will not be considered. The KHF-Kilimanjaro Hope Foundation is an equal employer.
 
Endelea kusambaza maombi ya kazi kwenye hospital za Kidini na Shule za watu binafsi huwa wanaitaji watu. USICHOKE NDUGU YANGU SAMBAZA TU
 
Kuna dispensary inataka nurse lakini mshaara ni laki 2 muda wa kufanya kazi ni masaa 6 tu vipi unaweza?

Kuna duka la dawa la jumla linataka wapangaji dawa na cashier mshaara laki na nusu...muda wa kufanya kazi ni masaa kumi na mbili ..vp utaweza?
Kama uko poa ni pm nikupeleke
 
Employment opportunities.
Kilimanjaro Hope Foundation together with St. Monica Hospital.
Announces job Vacancies to health care workers MD's,AMO,Lab Technicians and scientists, Pharmacist, Nurses,Medical Attendants etc, to submit their cover letters, Resume, and all academic certificates to be sent via

(maombi.khf@gmail.com)

Note:To be considered , applicants must put the tittle of the job in a subject line, the deadline is 25/11/2020.

Those who do not meet the minimum requirements, will not be considered. The KHF-Kilimanjaro Hope Foundation is an equal employer.
...mkuu, hilo tangazo uliloshare mbona kama lilisha-expire? Naona deadline ilikuwa tarehe 25/11/2020 ama????
 
Kuna dispensary inataka nurse lakini mshaara ni laki 2 muda wa kufanya kazi ni masaa 6 tu vipi unaweza?

Kuna duka la dawa la jumla linataka wapangaji dawa na cashier mshaara laki na nusu...muda wa kufanya kazi ni masaa kumi na mbili ..vp utaweza?
Kama uko poa ni pm nikupeleke
Mkuu hiyo ya kupanga mabox ya dawa lazima uwe mfamasia?, kama siyo naomba connection hapo.
 
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.

0689052541
Nenda chuo chochote cha Nursing au Hospitali yoyote omba kuvolunteer kwa muda , wakupe hela ya nauli na chakula tu huko utakutana na watu wengi sana utapata na connection
"KAZI HUPATIKANA KAZINI"
 
Nimewahi kuomba kujitolea bure kabisa Ila Kila unapoenda Mambo magumu
Niliwah jaribu hii kitu ...kila napoenda nakosa, mara barua hawaioni, mara nafasi ,nk ...... nimeamua kuacha...
nachunga zangu ng'ombe saiv huku namanyere..
 
usichoke kujaribu ,kipindi unachunga ng'ombe unajaribu na opportunities nyingine pia
 
Back
Top Bottom