Wakenya Ile floating bridge yenu haifanyi kazi?

Huwa mnasema Kenya Navy ni hovyo lakini wao ndio wameokoa maisha ya dereva na conductor
 
Wanatanzania Kiingereza ni shida kwenu. Yaani hamjui maana ya neno Pedestrian floating bridge
ndio sababu sisi huwadhihaki wazi wazi kwamba hamjui vipaumbele ni nini(matumizi sahihi ya akili).

hivi kwa adha hizi unakwenda kuchoma pesa za wananchi kwa daraja la waenda kwa miguu pekee!!!!

halafu wewe unaamua kuwa mjinga na kulisifu sababu tu umeona neno floating hapo
 
300,000 people huwa wanavuka Likoni channel kila siku. Sasa kati yako na serikali ya Kenya nani ndio mjinga? Hawa watu wote walikuwa wanafinyana ndani ya ferry hata social distancing hawawezi kufanya ili kuzuia corona. Saa zingine foleni ya kupanda ferry ilikuwa 2 kilometres long. This bridge is important to the people of that area. Wewe endelea kulia.
 
300,000 wanavuka kwa mguu? Na serikali yenu ikateketeza billions of money kwenye hicho kituko?

Eti mnajiita mna akili!
 
bro yaani nimesoma hiyo coment mpaka tumbo limejinyonga kwa mshtuko.
😄😄😄😄 Inasikitisha kuona jinsi walivyo corrupted na nincoompop, yaani watu laki 3 on foot daily, ni kwa namna gani uchumi unaathirika?

Kilometers zaidi ya 2 kuingia kwenye kivuko then jawabu ni hicho kituko 😄😄

Dar pamoja na kuwa na daraja la Nyerere Kigamboni na vivuko vi3 ferry lakini bado watu wanadai wajengewe tunnel ferry 🤣 tunachukulia vitu poa sana
 
300,000 wanavuka kwa mguu? Na serikali yenu ikateketeza billions of money kwenye hicho kituko?

Eti mnajiita mna akili!
Wewe hujanielewa. 300,000 wanavuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine wa Likoni channel. Zamani abiria walikuwa wanavuka kwa kutumia ferry lakini sasa hivi wanatumia daraja.
 
Wangapi wanavuka kwa miguu wangapi wanatumia fery
 
Wewe hujanielewa. 300,000 wanavuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine wa Likoni channel. Zamani abiria walikuwa wanavuka kwa kutumia ferry lakini sasa hivi wanatumia daraja.
Watu 300k hawapaswi kuvuka kwa kutumia mguu haijalishi ni kwenye daraja au ferry, hiyo idadi ni kubwa mno

Kufanya hivyo ni kuzorotesha maendeleo ya nchi sababu manpower kubwa inapoteza muda kwenye kuvuka kaeneo kadogo badala ya muda huo kufanya kazi

Kila mtu akipoteza saa 1 kwenye harakati za kuvuka daraja au ferry mara 300k ni masaa kiasi gani ya uzalishaji yamepotea? Ni pesa kiasi gani zimeondoka kwenye mzunguko?

Tena nasikia hilo daraja wananchi hawalitaki sababu lilipojengwa ni mbali na linawaongezea masaa mengi zaidi ya kupoteza kwenye kuvuka tu hako kaeneo, kinawashinda nini kujenga daraja kubwa magari ndio yawavushe?
 
There is no permanent bridge at Likoni because the channel is used by ships going to Mombasa port ,building a bridge would block their path .
 
300,000 people huwa wanavuka Likoni channel kila siku. Sasa kati yako na serikali ya Kenya nani ndio mjinga? Hawa watu wote walikuwa wanafinyana ndani ya ferry hata social distancing hawawezi kufanya ili kuzuia corona. Saa zingine foleni ya kupanda ferry ilikuwa 2 kilometres long. This bridge is important to the people of that area. Wewe endelea kulia.
na mbona daraja halijafunguliwa mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom