Natafuta kazi yoyote inayomhusu graduate wa Mathematics, Research and Statistics

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
229
582
Wakuu Salaam,

Natafuta kazi yoyote katika fani ya Mathematics, research and statistics.

Napatikana muda wote kwa namba hizi: 0712778881

Nina experience ya kutosha.
 
Unavyosema una experience ya kutosha una maanisha nn
 
Tembelea website ya UN inaitwa volunteers wanatafta watu wa kada mbalimbali kwa ajili ya kaz unaeza pata
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom