Tunatafuta mshonaji wa nguo anayeishi maeneo ya Kibamba

Tunatafuta mshonaji wa nguo anayeishi maeneo ya Kibamba

Recayrin Faith

New Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Ni biashara ya kutengeneza nguo aina tofauti kwa jumla na rejareja. Na tunatafuta mtu wa kusaidia na kazi tofauti za ushonaji.

Sifa
1. Awe anajua kushona (sio mwanafunzi)
2. Awe mchapakazi
3. Awe anaishi maeneo karibu na Kibamba. (Kiwanda kipo luguruni, kwahiyo tunatafuta mtu aliye kuwa karibu na maeneo hayo)

Kazi ni jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 11 jioni

Mshahara ni kuanzia 100,000 mpka 300,000 kwa mwezi kulingana na idadi ya nguo zilizoshonwa, na uwezo wa mshonaji.

Tuandikie msg au tupigie 0628 307018
 
Back
Top Bottom