kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi kazi iendelee

    Waandaji wa vibao vya anwani za makazi waupiga mwingi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CCM waanza rasmi kufanya kazi na wakina Makonda; wadai kundi lake litawasaidia kampeni 2025

    Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu amheshimu Mungu na kuamini mamlaka inatoka kwake na siyo Kwa wanadamu. Chama Cha mapinduzi kimekosa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
  5. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Je, aliyewahi kuacha kazi anaweza kuomba tena kazi na akapata?

    Wakuu kwema? Wayback kidogo bro wangu aliajiriwa serikalini sekta ya afya huko mtwarwa, alifanya kazi kwa miaka 3 na akaacha kazi kwa sababu anazozijua yeye. Baada ya muda kupita maisha yamemnyoosha vilivyo,nimeona juzi anadai amefanikiwa kutuma maombi Swali; Je, anaweza kuajiriwa tena?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya uzinduzi wa Royal Tour USA. Rais Samia fanya ziara kwenye nchi za EU

    Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania. Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini. Ziara yako Marekani ni nyenzo kuu ya kuinua uchumi wa Tanzania katika utalii na uwekezaji. Hakika Rais wewe ni zawadi kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi - Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Kampuni ya Flydream Company Limited inashughulika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ludovick Utoh: Mapendekezo ya CAG huwa yanafanyiwa kazi, ila sio yote

    Aliyekuwa CAG, Ludovick Utoh amesema kuna mawaziri 8 waliachia ngazi katika awamu ya nne kutokana na ripoti za CAG. Amesema alipokuwa CAG walifanikiwa kuonesha fedha za EPA na mapendekezo yalitekelezwa japo mengine hayakutekelezwa. Kwa miaka ya hivi karibuni hakukuwa na scandal kubwa kama za...
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

    Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani. Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri. Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuzaa si kazi, kazi kubwa ni kulea

    Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya. Lilian alibahatika kuolewa baada ya masomo, alipata watoto wawili wa kike na wa kiume. Wa kike aliitwa Tyrana wa kiume...
  11. CodeX

    JamiiForums Tanzania Changamkieni kazi za Data Entry

    Hii ni kazi ya kuapply kwenye mtandao wa Upwork. Jaribu kuapply inalipa sana. LINK HII HAPA => Needs to hire Freelancers for a data entry job.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba kazi za Elimu na Afya kuweni serious

    Aisee jana katika pitapita zangu nikaona wadau wanaoomba ajira nikaona hiki ni kisanga. Yaani mtu kaandika barua kwa mkono kaipiga picha kwa simu anataka ku-upload aombe kazi. Hivi ulimwengu wa sasa mtu aanze kuhangaika na liandiko lako libaya, tena umelipiga picha kwa simu, serious? Wengine...
  13. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumsifu rais Samia

    Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa. Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi wanne Handeni kisa bwawa la Kwankambala

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji kufuatia kusuasua kwa kazi ya ujenzi wa bwawa la Kwankambala. Kikao hicho kilichofanyika Jijini...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza: AlMasry wazimiwa taa mazoezini huko Berkane

    Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na kusema kwamba team yao ya nyumbani inatumia Dirty tricks kwa kufanya interviews na Tv za Misri au la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

    Nawasalim wote Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022. Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona...
  18. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Nafazi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu. Sifa za mwombaji Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level) Awe na umri usiozidi miaka 40 Awe mkazi wa Dar es Salaam Maombi yote...
  19. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi IT na Graphic Design

    Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam. Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi...
  20. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
Back
Top Bottom