kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Sky Eclat

    Ukikuta hela kwenye mifuko ya suruali wengi tunazichukulia ni ujira wa kazi ya dobi

    Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi. Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
  2. Mr No fair

    Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

    Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
  3. R

    Processor inafanyaje kazi

    Habar wadau mdogo wenu leo nimeshuka chini kidogo upande wa hardware ili nijue processor inafanyaje kazi na sio kuandika tu program kila siku bila kujua huko chine kukoje mm sijaja kuwasumbua humu wakuu nimehangaika sana nimesoma sana lakini kuna maeneo nimeyaelewa ila baadhi ya maeneo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  5. tpaul

    Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  6. S

    Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  7. kyagata

    Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili. Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
  8. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
  9. yuda75

    Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

    Habarini wadau Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia. Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na Delila alaniwe alimtesa sana Samson
  10. MGOGOHALISI

    Ni lini Masoud Kipanya atapewa PhD ya Heshima kwa kazi anazozifanya?

    Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa. Natoa wito kwa vyuo...
  11. K

    Hivi kuna mtu amewahi pata kazi kupitia job junction?

    Hivi kuna mtu amewahi pata kazi kupitia job junction?
  12. Faana

    Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

    Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni...
  13. Jamii Opportunities

    Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
  14. M

    Kauli kuu ya Mbowe iliyosaidia sana kutunza amani nchini: Tusilipize kisasi, kisasi ni kazi ya Mungu

    Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana. Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
  15. Ngungenge

    January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  16. Mpekuzi Tanzania

    Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  17. Isaya mwakyoma8

    Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha nne

    Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga. Kazi za awali nilizo wahi kufanya 1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7. 2. Nimekuwa afisa mikopo kwa...
  18. lee Vladimir cleef

    Moja ya Kazi za Bunge ni kuikosoa Serikali,Je wananchi kulikosoa Bunge ni haramu?

    Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes hiyo ndio Kazi ya wabunge na Bunge dhidi ya serikali. Je, ni makosa kwa wananchi kulikosoa Bunge...
  19. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
Back
Top Bottom