Nafazi ya kazi ya kuuza Pharmacy

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu.

Sifa za mwombaji
  1. Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level)
  2. Awe na umri usiozidi miaka 40
  3. Awe mkazi wa Dar es Salaam
Maombi yote yatumwe kwenda: mikeyamon@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom