Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu
Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya
Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji, mnangoja nini kunywa sumu.?
Mliochukizwa na flyover Dar kwa nini msinywe...
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?
TANROADS...
Mimi ni muhitimu was kidato cha sita masomo ya sanaa, kwa sasa najishughilisha na ufundi wa maji safi na taka majumbani (plumbing) ujuzi niliojifunza mtaani na mpaka sasa nina uzoefu wa miaka miwili.
Napatikana mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai ila popote nafika.
Ikiwa wahitaji huduma yangu...
Abraar Bricks Nyumba kwa wote.
Katika kiwanda chetu cha uzalishaji vifaa vya ujenzi wa kisasa kwa kutumia saruji (precast) tunatafuta msimamizi "manager" wa kiwanda.
Kiwanda kina uwezo wa kuwa na wafanyakazi wa uzalishaji 21 na wasio wazalishaji 3 kwa shift moja. Tunataraji kifikie uwezo wa...
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Kila la heri mtakaopata.
==
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba,
Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya,
Nukushi Na: +255-22-213806 S. L. P 743,
40478 DODOMA.
TAARIFA KWA UMMA
SERIKALI YATOA KIBALI CHA...
Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.
Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa.
Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa.
#SHH2025/30
#MamaMaendeleo.
Kwema wakuu?
Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii
1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi?
4. Ipi yenye changamoto nyingi?
Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi.
Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria za kimataifa ofisi ya ubalozi huko China mfano ni sehemu ya eneo la Tanzania lililopo China...
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial.
Natafuta kazi kati ya hizi:-
Secretary
Stationary
Reception
Costumer care
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao.
Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote.
Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz
Kila la kheri vijana.
Mbunge unakosa hoja ya kulisemea taifa lako unaongelea upuuzi?!
Kwamba changamoto lukuki zinazowakabili wana-Rukwa huyo mpuuzi kaiona ya viuno vya wanaume kuumia viuno ndiyo agenda kuu?!
Nimetukana!
===========================
MBUNGE BUPE: MATUTA YANAHARIBU VIUNO VYA WANAUME
Mbunge wa Viti...
Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga.
Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.