Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
3,102
6,183
Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima.
Bonnie 1.jpg
Bonnie.jpg

solution.jpg

father.jpg

Naomba kazi ya Graphic Design kama
• Kudesign logo
• Kudesign business cards
• Kudesign presentation
Yaani kiujumla any design kwa kutumia
• Adobe photoshop
• Adobe Illustrator
Uzoefu wangu ni miaka 2,
Sijafundishwa chuo nimejifunza mwenyewe hivyo sina cheti.

Cheti nilichonacho ni degree ya taaluma ya maendeleo (BA. In Development Studies) Chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM)

Zangu.jpg

FAIDA NAZOWEZA KUTOA
  1. Professional and Creative design
  2. Branding
  3. Graphics design counselling.
  4. Naweza saidia kampuni kuwa na maamuzi sahihi kwenye communication via graphics
  5. Sababu ni self-taught graphic designer nipo naendelea kupush beyond limits it means kazi zangu always zinazidi expectation
  6. Kutokana kuwa na ufahamu wa Maendeleo (Development Insights) naweza saidia kutoa content bora (development-centred) kwa mashirika yenye relations na community development.

Pia, self-taught, inamaanisha unakua unafanya kujitafutia materials (Research) na kuyafanzia kazi (Development) hii inamaanisha niko vizuri kwenye filtering of information, hivyo naweza fanya kazi ya kutafiti taarifa, materials au jambo lolote lile nikalileta kwa usahihi unaoweza hata kufanyiwa practical.

Kwa vile kazi hii unaweza fanya hata ukiwa remote (In home)
Ikiwa ungependa kunipa tenda kulingana na limited funds
Gharama zangu ni hizi kwa wanaotaka kufanya kwa packages za poster.
Bonnie 4-2.jpg

Naambatanisha kazi zangu hapa
Ruge-logo.jpg
Yanga.jpg
Simbaa-1.jpg
JE wajua.jpg
New-year.jpg
aids-1.jpg
Show cat.jpg
Mwasiti.jpg
amni Nyerere-2.jpg

Kwa whatsapp no yangu. 0764035004 (SMS sababu nina tatizo la deaf – hard of hearing)
Nashukuru sana
Nakaribisha maswali pia.

Simba-1.jpg

-------------UPDATES---------
Baada ya kupita kipindi kirefu, japo nashukuru wote walionicheki na kunipa moyo na wengine kunipa hope. Bado sinafanikiwa kupata kazi kurahisha income yangu.

Nimefanya marekebisho na kuongeza baadhi ya ujuzi hizi hapa ni kazi zangu mpya.

Sports Poster
phiri-2.jpg
Jumatano4.jpg
jumatano-1.jpg
yanga a.jpg

Social media normal poster
african child.jpg
bonnie poste 2r.jpg
bonnie poster.jpg
final 3.jpg
labour-3.jpg
 
Computer generated work. Hauko vizuri kihivyo.
CGI- hapa siwezi nipo nimebase na Photoshop na Illustrator.

Unaposema sipo VIZURI KIHIVYO. Naomba ufafanue huenda ukanisaidia kuimprove, maana nilivyoaanza sikua najua vitu vingi mpaka nilipokua naonyweshwa wapi hapajakaa sawa.

Kumbuka ni Self-Taught. So naomba unisaidie unapoona sipo VIZURI ili niimprove.
 
Upo vizuri japo haujafika advanced level ila kwa hizo artwork unaweza kufanya designing popote pale.

Ingekuwa vizuri ungejifunza na motion graphics, mimi pia ni begginer wa graphics nimeanza kuwa vizuri kwenye still pictures na sasa nataka kuanza motion pictures, naona kampuni nyingi wanataka designer ajue vyote hivi pamoja na social media management.
 
Asante kwa matusi yako mkuu, ubarikiwe sana.

Ila nafikiri mwenye post kaelewa vizuri tu feedback yangu.
Punguza ujuaji.
Comment vizuri then pita hivi.

Kama ni wa industry yako na unahisi kazingua kitu basi Mfate inbox mkadiscuss, Kutuanbia hapa "He is not advanced" una maanisha nini?

Unataka wateja tujue kuwa jamaa hajui and he is not advanced..?!!

#YNWA
 
Upo vizuri japo haujafika advanced level ila kwa hizo artwork unaweza kufanya designing popote pale.

Ingekuwa vizuri ungejifunza na motion graphics, mimi pia ni begginer wa graphics nimeanza kuwa vizuri kwenye still pictures na sasa nataka kuanza motion pictures, naona kampuni nyingi wanataka designer ajue vyote hivi pamoja na social media management.
Mzee naenda taratibu. Hata bado sijamaster kimoja niruke kingine.

Taratibu, kingine Hapo pa motion inanipa shinda kumbuka nimesipecify nina tatizo la kutosikia.

Mdogo mdogo nitafika hapo, niweze ajiri mtu au kufanya collabo na voice over man.

Shukuran sana.
 
Uko vizuri aisee, ningekuwa na kazi ningekupatia....umeangalia hizi opportunity za online freelancing ? Huwa naona watu wanapata pia hela kuongezea mtaji
 
Freelancer, Upwork?
Nishapiga tatizo bongo PAYPAL na benki zenyewe mziki. Yaani pesa unaiona ila hauwezi kuishika.

Kuhusu freelancing za hapa hapa, via WhatsApp na Instagram.

Sijapata wateja wanaovalue unachofanya utasikia
Nifanyie kwa buku 3k
Logo anataka buku 10k
Poster buku 5.

Wakati kuna vitu vingi kama Designer vinagharimu zaidi ya wanachokulipa.

Bando
Working space (nyumbani nilipo sipo motivated kivile, hua naenda eneo tulivu ambalo linademand ufanye kilichokuleta usepe, nakua motivated)

Ndio maana nimeleta humu naamini wapo wanaoona umuhimu wa Graphics Designer tukafanya kazi.

AHSANTE SANA MKUU
 
Kwa bongo nimeshaona % ndogo sana wapo serious na kazi za graphics design kama ulivyosema, mtu atatoa buku 10 atakuambia anataka logo na kazi serious utaambiwa ufanye bidding kwa tenda yenye vigezo lukuki...sijajua kama kuna njia rahisi ya kutoa hela labda wazoefu zaidi waje hapa kutusaidia pia, ila ukipiga hizo za online una uwezekano mkubwa sana wa kula matunda ya ujuzi wako
 
Shukurani nashukuru umeona, walio serious ni makampuni, na mashirika, logo tu wanatoa million (hapa unapambana) logo yangu ya RUGE MUTAHABA FOUNDATION umeionaje? Nimeshindwa ingia hata Top ten, huenda mtu akanionesha mapungufu next time nikaze.

Kuna Uzi wa PayPal kuomba kuruhusiwa na Serikali kuna vitu vya hapa na pale nilipata nitafanyia KAZI.

Once again shukuran sana KIONGOZI.

NAOMBA USISAHAU KUNISAIDIA OMBI LA KUVIEW LOGO YA RUGE MUTAHABA FOUNDATION HAPO JUU. Unisaidie wapi nafeli.
 
Upo vizuri japo haujafika advanced level ila kwa hizo artwork unaweza kufanya designing popote pale.

Ingekuwa vizuri ungejifunza na motion graphics, mimi pia ni begginer wa graphics nimeanza kuwa vizuri kwenye still pictures na sasa nataka kuanza motion pictures, naona kampuni nyingi wanataka designer ajue vyote hivi pamoja na social media management.
Hebu tuone ya kwako ambayo ipo advanced.
 
Shukurani nashukuru umeona, walio serious ni makampuni, na mashirika, logo tu wanatoa million (hapa unapambana) logo yangu ya RUGE MUTAHABA FOUNDATION umeionaje? Nimeshindwa ingia hata Top ten, huenda mtu akanionesha mapungufu next time nikaze.

Kuna Uzi wa PayPal kuomba kuruhusiwa na Serikali kuna vitu vya hapa na pale nilipata nitafanyia KAZI.

Once again shukuran sana KIONGOZI.

NAOMBA USISAHAU KUNISAIDIA OMBI LA KUVIEW LOGO YA RUGE MUTAHABA FOUNDATION HAPO JUU. Unisaidie wapi nafeli.
Em nione hy logo ya ruge
 
Back
Top Bottom