kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Kusambaza vinjwaji kwa pikipiki

    Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji Eneo: Kimara Njoo p.m tujadili Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe aache ubaguzi: Wanachama wengi wa CHADEMA ni jobless, kwanini asiwatafutie ajira hao, anatafutia wenye kazi?

    Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34. Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa? Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
  7. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

    Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
  8. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  9. Anna Mwandosya

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  12. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina...
  15. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  16. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  17. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  19. CHEF

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

    Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up? Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
  20. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kulikoni kazi za sensa??

    Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.
Back
Top Bottom