Natafuta kazi IT na Graphic Design

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.

Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi kujituma.

Mawasiliano yangu ni: email stalyjay@gmail.com.
 
Ni tumir namba zako inbox
 
Vip unaweza tuma kaz zako
 
Mwanangu hayo mavitu yamevurugwa na AI lakini nakutia moyo.
 
Back
Top Bottom