kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea GIS and Land Surveying

    Habar zenu ndugu!! Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea. Namba yangu 0699239068
  3. I

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kazi katika mashirika ya kujitolea ya jamii

    Miaka kadhaa iliyopita nilipata kazi kwenye shirika moja la maendeleo ya jamii. Katika shirika ilo nilipelekwa kijijini sana uko mkoani Tabora ambapo niliyekua nalipwa mshahara ni mimi pekeangu huku wanachama wengine wa shirika wakifanya kazi ya kujitolea na kupokea tu posho ndogondogo. Asee...
  4. JamiiForums Tanzania Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

    Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari. Halafu...
  5. JamiiForums Tanzania 60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

    Na huo ndio ukweli. 60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto) Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea Hayo hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi alipobugia shaving cream ya madam wake

    Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream alimpa dada alimshe mtoto. Dada alionja kidogo aliipenda na kuwaza kuchwani hawa watu wanakula...
  7. JamiiForums Tanzania Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

    Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20. Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu

    Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu. Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili. "Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu" Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.
  9. JamiiForums Tanzania Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

    Mimi naanza na Jenerali Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Waalimu, karibuni na nyie muendelee...
  10. JamiiForums Tanzania Angalia sifa zangu hizi kama una kazi naiomba

    Elimu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya siasa na utawala wa umma. Nimefanya kazi sekta binafsi shuleni, kampuni, shirika lisilo la kiserikali Huko nimepata uzoefu wa kazi mbalimbali kama ifuatavyo. Naweza kuandaa na kuandika project proposal Kuandika business plan/proposal Kuandaa na kuandika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Heko Kwa kikundi cha Mizengwe kwa kazi zao zenye maadili na zinazo fundisha na zenye Uhalisia

    Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama. Katika kazi zao mwanaume amebakia kuwa mwanaume na mwanamke nae amebakia katika nafasi yake. Kwa anae...
  12. JamiiForums Tanzania Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli wadada wa kazi wana madhaifu yao ila na maboss muwe na busara

    Leo nimetoka zangu kutafuta mkate wa kila siku maeneo ya kisesa, nikasema nishuke kwa rafiki yangu hapo kanyama huwa namuita kaka kwa jinsi tunavyoishi. Nikamkuta shemeji kama kawaida tukasalimiana na kutaka kujua mtoto na dda wa kazi hali zao maana sikuwaona. Kumbe ndio nawasha moto. Shem...
  14. JamiiForums Tanzania Report: Iranian intelligence chief sacked over spate of assassinations

    A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported. The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
  15. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  16. JamiiForums Tanzania Njoo tufanye kazi pamoja. Usilalamike kama unajua upo potential. Utajiri upo hapa

    Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani. Kampuni tayari 1. Inatambulika Brela 2. Ina TIN Number (TRA) 3. Ina Leseni ya Biashara 4. Ofisi nimeanzia hapa hapa home kwanza. Sasa kama unadhani...
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

    Habari wakuu. Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10. Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported. Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kazi zao aisee,wewe huipendi kazi yako

  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…