Nmemaliza chuo tangu 2020
Nina diploma ya Music production.
Ni kijana wa miaka 23
Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza.
Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao!
Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
Wakuu
Poleni na majukumu.
Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.
Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
Kwa majina naitwa MOHAMED HABIBU MOHAMED ni mkazi wa mkoa wa DoDoma,umri wangu miaka 25 mwenye elimi ya kidato cha nne (4).
Nina nina fani ya udereva pia ni mzoefu usio pungua maika 3 ya kuendesha gari kuanzia robo ¾ tani mpaka tani 3½.
Nina uzoefu wa kuuza duka la aina yoyote isipo kuwa...
Salaam wakuu,
Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu.
Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri.
Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea
Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa
Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.
Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Salaaam kwenu wadau
Kama mada inavyojieleza
Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto
Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita...
Habarini ndugu
Nimekuja mbele yenu ninaomba kazi yoyote ilimrad niingize kipato niwez kujkim mahtaj yang
Umri wangu 23
Jinsia kiume
Sehemu ninayoish Tegeta nyuki Dar es salaam
Kazi ninazoziweza
Kinyozi
Kuuza duka
Sheli
Supermarket
Konda daladala
Kaz za viwandani
Ntashukuru Sana mkinisaidia...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua..
Chanzo: Dar Mpya Blog
Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa.
Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu.
Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja.
Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa.
Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.