Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,062
40,724
Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari.

Halafu kinachoumiza sasa, yote ni magofu, lakini bado yana hali nzuri structurally, yakipigwa rangi tu yanakuwa mapya kabisa. Wapewe EPZA watu wapate ajira, au mnaonaje?
 
Hapo ndio unapouona umuhimu wa baba wa taifa....mungu amrehemu..
 
Back
Top Bottom