Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Habari wakuu.

Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10.

Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported.

Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran kwenu.

Thanks you.
 
Back
Top Bottom