Wakuu kwema!
Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka.
Juzi...
Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
Habari wana jamii,
Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco
Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi.
Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :-
1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata.
Ipo...
Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali.
Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
Wakuu Salam,
Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.
Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor...
Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia.
Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYER
Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI)
Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa.
Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa.
Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama
Kabla...
Huku majenerali wakiendeleea kuuawa vitani, kaona heri awapunguze mwenyewe maana sio kwa aibu ambayo Urusi inazidi kupata kutoka kwa kajirani kadogo Ukraine.
Binafsi hainingii akilini hii ni ile ile Urusi niliyoiogopa siku zote, ndio inalizwa hivi
=========
Vladimir Putin fired five generals...
MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi.
Kwa mujibu wa...
Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na baada ya hapo James alipata uhamisho kwenda Angola. Kama aliomba uhamisho ule ni siri yake lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.