60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,538
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
 
Kwa hyo wewe unajua kaz zinafanywa mchana tu?

Mm n muuza piplipil soka la ilala biashara yangu inaanza saa tano usiku had alfajir

Huo mda mwingne nakuwa mtaani

Wengne walinz waningia usiku

Wengne wanafanya kaz kwa shift viwandan

Usifananishe dsm na huko koromoje kwenu
 
Kuna wamama fulani huwa nawakutaga wengi pale Masaki mitaa karibia na Bakhressa...
Wengine kila jioni nawakuta ile njia ya Golden Tulip kuelekea Coco Beach...
Juzi usiku ile natoka tu getini wakanifuata wanaomba nauli....
Nilijisikia vibaya na kuwaonea sana huruma......

NB: Haya mambo siyo ya kufurahia, yanaumiza sanaaa. (Umasikini unazidi kukomaa hapa nchini)
 
Kwahiyo 40% ndo wana kazi??

Ila hizo tafiti zenu, em tupe walau njia uliyotumia kwenye ukusanyaji wa hizi data mpaka kupata hizo 60%.
 
Kuna omba omba washikaji kmamae yaani kukutana na mtu unamjua bar unatakamani uhame kiwanja atataka umnunulie kinywaji, chakula na nauli ya kurudi nyumbani umpe... siku hizi nawachana kavu kavu sina huruma tena
 
Kwa hyo wewe unajua kaz zinafanywa mchana tu?

Mm n muuza piplipil soka la ilala biashara yangu inaanza saa tano usiku had alfajir

Huo mda mwingne nakuwa mtaani

Wengne walinz waningia usiku

Wengne wanafanya kaz kwa shift viwandan

Usifananishe dsm na huko koromoje kwenu
Pamoja na hoja yako kuwa na mashiko, hili jiji watu wengi hawana shughuli rasmi. Anachosema ni kweli kuwa tukio dogo litajaza watu na watakaa hapo for no obvious reasons, sababu kubwa ni kukosa kazi za kufanya.
 
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Asilimi 90 ya wasimbe wote Tanzania wapo DSM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Ushakaribishwa mjini eeeh? kaa kwa kutulia hapa ndio town
 
Back
Top Bottom