"Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea.
Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki.
Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi.
Watanzania na Waafrica tunaumiza...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva.
Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo:
👉🏼 Udereva wa kuendesha magari kuanzia...
Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea!
Wizara na serikali kwa ujumla!
Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria!
Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa!
Wako too...
Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi .
Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk
Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani.
Lakini walipomfungia Haji Manara...
Sabato Njema!
Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi.
Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi.
Hii inasababishwa na nini? Kuna...
SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.
Akizungumza leo...
Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma
Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe!
Utangulizi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
==
SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.
Na Mwandishi Wetu, Sikonge
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
Mradi uliokuwa unautegemea unakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. Unaamka asubuhi hauna ratiba ya kwenda mahali popote, majirani wambeya wanakuuliza maswali ya kipuuzi "vipi Leo mbona hujaenda kazini" siku chache za mwanzo unawajibu kuwa upo off day baada ya muda unawaambia kua upo likizo...
- Essence Driving Schools
Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika
Sifa
1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja
2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo
3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii
4. Muonekano...
Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi.
Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.
Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...
Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini.
Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea...
Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10.
Kazi inakupatia malazi na chakula bure. Siku unazolipa kodi ya nyumba ni siku ukiwa likizo. Anasema...
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.