Wadau salama leko
Kichwa kinaeleza hapo juu. Kuna malori baadhi yana taa za rangi rangi kama balbu za chumbani kuanzia mbele ya gari nyuma pembeni kushoto kulia juu chini ya gari kuna wengine wanaweka taa mpaka karibu na tairi kwenye yale madude kama makapeti yanayoning'inia karibu na tairi.Nimejaribu kufikiria na kugugumia mara nyingi na kujiuliza kazi yake hasa ni nini hizi taa au ni urembo tu.
Kuna wakati usiku haya malori kwa mbali yanang'ara unaweza kudhania ni ukumbi wa harusi.Hivi huwa wanatumia betri gani kuwasha haya mataa yote betri huwa haziishi?
Mimi ninachojua ni taa kubwa za mbele, taa za indiketa tu pamoja na taa za break,sasa hizi zingine hebu wadau wa malori mkuje mutuweke wazi hapa.