Tusio na kazi tunaitamani sana

Messenger RNA

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,102
3,022
Nawasalimu wote JF.

Bila kupoteza muda niende kwenye mada.

Kumekuwa na malalamiko ya nyongeza za mishahara kila pembe ya nchi na wengine wakitishia kususa kazi na wengine wanatishia kuacha kazi, ukweli msioujua sisi tusio na kazi tunatamani hata robo tu ya huo mshahara.

Mimi hasa kwa upande wangu nilihitimu mwaka 2015, nimepitia mengi sana na kama Mungu akija anisaidie nipate hata hiyo laki tatu nitapiga kazi mfano hakuna na nadhani ni muda watumishi wa umma mridhike na mlichopewa.

Uzi tayari.
 
Pole sana! Ila mawazo kama yako ndio yanaiweka ccm hapa ilipo. Free and easy ride!
 
Kituo cha kwanza ukipangiwa kibondo dc near burundi. Na upgwe desh miez miwili na hakuna kujikimu na ukaendelea kufura tutakuombea uteuliwe uwe kmk.
 
Back
Top Bottom