Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,231
9,677
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
 
Yeye ndio inatakiwa atufariji sisi, sio sisi tumfariji yeye, hasimami kwenye foleni, ana uhakika wa ulinzi, uhakika wa maisha bora kwa familia yake hata asipokua hai, uhakika wa matibabu sehemu yoyote duniani etc, bado tumpe faraja? Ya nini tena?
 
Faraja!?

Mpe mpenzi wako!!

Huwezi ua wamasai Ngoro ngoro Halafu ukapata faraja!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
Unaushahidi huo, uweke hapa, Serikali ilifanya majadiliano nao kupitia viongozi wao na wao kwa ujumla wao, Ndio maana ukawa unaona wakikubali kuondoka kwa hiari kwenda mkoani Tanga ambako serikali ilikuwa imewaandalia makazi Bora na huduma zote muhimu za binadamu Kama vile shule, maji, Barabara na vituo vya afya

Lakini vile vile kule hata swala la marisho kwa ajili ya mifugo yao yalikuwa yapo ya kutosha,

Pia jifunze kuchangia mada kwa staha na heshima, Usipende kutumia maneno yaliyokosa hekima na utu, usipende kudhalilisha mtu yoyote katika maandishi yako

Kutofautiana na mtu kusikufanye ujenge hoja kwa chuki, unaweza ikawa hukubaliani na mtu na bado ukaandika vyema na ukaeleweka vyema na ukajibiwa vyema bila kuvunjiwa heshima
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine,

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu,

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku,

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu,

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie,

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu,
Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania,

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais
Kwani anafanya kazi Bure?si tunamlipa mshahara?no tumempa na mamlaka ya kujipangia mshahara!

Anacho Fanya ni kuzurura tu,na kutumia pesa yetu vibaya!

Mosi,msafara wake unatumia magari Mengi na watendaji wengi wanaolipwa posho hapa hakuna tija, Raisi anaenda kuzindua chuo Cha uamiaji Tanga,sio kipya kipo muda mrefu,sasa anazindua nini!.

Pili kutoka Dom kwenda kuzindua barabara ya km 147 chunya!serious!
Waziri yupo,RC yupo,DC yupo,hizi ni safari zisizo na tija,zinatumia pesa Bure.

Anacho kijua kikubwa ni kuteua tu,hata majambazi yanapewa ulaji,Cha msingi yawe upande wa ccm.

Nchi Haina Raha, ukiwa mpinzani ni kusumbuliwa tu, Katiba mpya ije,Tume huru ije,tuwe na mfumo wa uchaguzi kama wa Kenya,hapo ndio atajua watz wapo upande gani.

Mwisho mwambie Raisi wako, aweke wazi mapato na matumizi ya filamu ya royal tour,nani alichanga na kiasi gani,na atuambie hizi ziara zake anatumia pesa kiasi gani.

Unachoma mafuta na pesa Kiasi Cha milioni 200,unaenda kuzindua barabara ya milioni 300!!wizi mtupu
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Chawa mnazidi kuwa mataahira! Mpuuzi kweli chawa huyu!
 
Yeye ndio inatakiwa atufariji sisi, sio sisi tumfariji yeye, hasimami kwenye foleni, ana uhakika wa ulinzi, uhakika wa maisha bora kwa familia yake hata asipokua hai, uhakika wa matibabu sehemu yoyote duniani etc, bado tumpe faraja? Ya nini tena?
Ndio maana unaona anaendelea kugusa kila eneo kwa utendaji kazi wake,Ndio maana twapaswa kumpongeza na kumtia moyo
 
Kwani anafanya kazi Bure?si tunamlipa mshahara?no tumempa na mamlaka ya kujipangia mshahara!
Anacho Fanya ni kuzurura tu,na kutumia pesa yetu vibaya!
Mosi,msafara wake unatumia magari Mengi na watendaji wengi wanaolipwa posho hapa hakuna tija,Raisi anaenda kuzindua chuo Cha uamiaji Tanga,sio kipya kipo muda mrefu,sasa anazindua nini!.
Pili kutoka Dom kwenda kuzindua barabara ya km 147 chunya!serious!
Waziri yupo,RC yupo,DC yupo,hizi ni safari zisizo na tija,zinatumia pesa Bure.
Anacho kijua kikubwa ni kuteua tu,hata majambazi yanapewa ulaji,Cha msingi yawe upande wa ccm.
Nchi Haina Raha,ukiwa mpinzani ni kusumbuliwa tu,Katiba mpya ije,Tume huru ije,tuwe na mfumo wa uchaguzi kama wa Kenya,hapo ndio atajua watz wapo upande gani.
Mwisho mwambie Raisi wako,aweke wazi mapato na matumizi ya filamu ya royal tour,nani alichanga na kiasi gani,na atuambie hizi ziara zake anatumia pesa kiasi gani.
Unachoma mafuta na pesa Kiasi Cha milioni 200,unaenda kuzindua barabara ya milioni 300!!wizi mtupu
Rais akienda mahali anaenda kufanya kazi zaidi ya moja uijuayo wewe, maana anaweza akaenda kukagua mradi fulani lakini akahitaji kupewa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali, pia matumizi ya Fedha zinazopelekwa huko namna zilivyo tumika, nahapo anakuwa na taarifa nyingi tu hata kabla hajafika hapo

Kamwe na katu Rais hawezi kukaa ofisini kusubili kupelekewa kila taarifa bila kwenda kujionea uhalisia eneo husika, maana mwingine atadanganywa na kupewa picha isiyo sahihi,

Pia siyo kazi ya Rais au mtumishi yoyote kukaa tu ofisini bila kwenda kwa wananchi, hata kura tu hakuombea ofisini, Sasa Kama hakuombea ofisini kwanini ajifungie ofisini Mara baada ya kuwa kiongozi

Misafara unayoiona Ni wasaidizi na watendaji wa Rais wanaotakiwa kuelezwa kila kitu katika utekelezaji wa mirad mbalimbali, ndio maana unaona mawaziri wakifafanua Mambo mbalimbali katika ziara za Rais
 
Kakutuma uje umpigie debe huku unajua kilo ya unga ni bei gani wewe au kisa unakula kwa shemeji yako ndomaana akili imelala.
Rais haihitaji kupigiwa debe maana kazi zake zinajitangaza zenyewe, Tanzania tuna ardhi kubwa tu yenye rutuba unayoweza hata wewe kulima mengine tunza kwa chakula na mengine uza yakusaidie kwa Nahitaji mengine,

Au ulitaka kilo iuzwe Mia tano ndio ufurahi wakati wakulima walinunua mbolea kwa Bei kubwa kutokanaa na Hali ya kidunia ilivyokuwa, unataka kusikia kila siku mkulima akilia tu ndio upate laha, kilimo Ni biashara kwa sasa hivyo acha mkulima anufaike na kuinuka kiuchumi
 
Ndiyo kazi aliyoiomba. Kwan anateseka? Kama anaiona kazi ya urais ni ngumu ajiuzulu tu ili tuchague anayeiweza.
 
Ndiyo kazi aliyoiomba. Kwan anateseka? Kama anaiona kazi ya urais ni ngumu ajiuzulu tu ili tuchague anayeiweza.
Ndioo aliiomba na anaifanya kwa uadilifu mkubwa Sanaa, tunampongeza na kumpa faraja ya kusonga mbelee kwa kuwa wapo wengi wanashindwa kutimiza majukumu yao pindi wapewapo,
 
Nadhani mantiki kubwa ni anatimiza wajibu wake kama Raisi sababu ni kazi ambayo aliiomba wakati wa uchaguzi.

So far kila anachoenda kuzindua ni michakato ambayo hayati aliianzisha. Nadhani ifike wakati aanze kuanzisha miradi yake na mkubwa utakaomletea faraja yeye mwenyewe ni Katiba mpya itakayotokana na rasimu ya warioba.

Kupunguza gharama kile kikosi kazi kiendelee pale rasimu ya warioba ilipoishia ili kisile hela za bure kama bunge maalum la katiba.

Hivi wakubwa wa hapa nchini wakiona uchaguzi wa Kenya wanajisikiaje jinsi vyombo vya ulinzi vinavyosapoti democracy, accountability and transparency au wanahitaji semina elekezi.

Nimepata majibu kwanini Uhuru alikuwa akienda Washington anakutana na Joe ni sababu ya uweledi kama huo na pioneering ya open democracy nchini mwake. vile vile ni kwanini akina Hilda, maria, Lissu,Lema, Henje wote vibali vya asylum waliviombea wakiwa Nairobi bila kubugudhiwa wala kukamatwa. There is Democracy in Kenya, respect to human rights etc.
 
Faraja Kwan aliombwa.
Kuna watu wanafanya kazi za ukiwa Kama kina Matola pale Simba😂😂
 
Back
Top Bottom