kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

    Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara. Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi. Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229 Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  4. madaili

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga. Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary). Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Interview and employability; Usipozingatia haya, utaishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye interview

    USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
  6. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kijana huyu alikua akielekea kwenye mahojiano ya kazi, lakini alikumbana na matatizo kwenye tai yake

    Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.' SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja.
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea, kilichobaki ni kwenda na Rais Samia. 2025 ni kumuunga mkono kwa nguvu zote

    Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia. Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania. 2025 Twende na Rais Samia.
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hamdu Shaka, hivi kazi yako haswa ni nini, kumsifia Rais Samia au kuelezea Itikadi ya CCM?

    Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji. Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbili za kazi- Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Flydream Company Limited ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2019. Ni mujumuisho wa biashara zinazotoa huduma mbalimbali ikiwemo mafunzo ya Udereva, huduma ya ufundi Magari, Huduma za usafi na unyunyizishi wa dawa za kuua wadudu majumbani na maofisini, huduma za chakula...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

    Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

    Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Haya masuala mawili naomba jibu, Mwalimu kamaliza kazi yake, sisi tukoje?

    Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Huwa najiuliza, haya madini kama: almasi, dhahabu, Tanzanite n.k ni kitu gani kinayapa thamani au yanafanya kazi gani kubwa yanayoendana na thamani ya mauzo? Kwa ufahamu wangu mdogo, najua yanatumika kwa mapambo, kukatia vioo na miamba (almasi); lakini, kwa nini yanathaminishwa kwa gharama...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika. Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dr. Luhende: Fanyeni mahala pa kazi pawe sehemu salama katika utendaji wa kazi

    BARAZA LA WAFANYAKAZI KUWEKA MAHALA PA KAZI SEHEMU SALAMA ❖ Wajumbe Wajengewa Uelewa Umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi ❖ OWMS Kuhamia Dodoma Mwaka Huu Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya...
  18. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kazi iendelee na safari iendelee, tutafika tu. Ni wapi na kwa namna gani, tutakomaa tu!

    Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado hajakomaa vizuri... C: Atakomaa huko huko! Nakiri sikushangaa hata kidogo. Huwezi ukapanda mchicha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  20. Greataziz

    JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
Back
Top Bottom