Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko...
Katika hangaika yangu ya kusaka tonge hasa katika hizi interviews za utumishi, nimegundua Kuna baadhi ya post huwa hazina waombaji wengi. Nitachukulia mfano kwa post za educational psychology, Guidance and counseling, early childhood education & special and inclusive education na fani nyengine...
Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi.
Gazeti la Wall Street Journal, Washington Post na mengine yaliripoti, kulingana na vyanzo ambavyo havijatajwa, kwamba watendaji...
Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana
Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!!
May be one day nitafufua uzi huu mwaka 2030 Mungu atuweke ,
Wewe na Hussein Mwinyi mnakubalika zaidi...
Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.
Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu".
Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
VTS ni mfumo wa kisatelaiti wa ufuatiliaji mwenendo wa magari barabarani. Mfumo huu unafanana sana na ile mifumo ambayo wengi wameizoea kama Car track au U-truck.
Mfumo huu kwa sasa unatumika hapa Tanzania chini ya usimamizi wa LATRA. Kwa kuanzia mabasi 100 ya njia ya kati Dar-Mwanza, Kahama...
Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja...
Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
Mambo zenu wakubwa,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.
A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics.
Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics...
Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel".
Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT.
Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake.
Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.
Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.
Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee"...
Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics
Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Na huyu kaja na "si amri" - danadana zinaendelea...
Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine.
Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.