Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu.
Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie...
Rejea kichwa cha habari
Kama ww unafuatilia mambo ya blog utatambua kuna kuibukia au mfumuko mkubwa wa blogging Tanzani!!
Lakini zote au asilimia 90 ni za matangazo ya kazi!!
Swali la kujiuliza Je sababu ni nini wa kuwa na mfanano wa blog??
-Kwamba za matangazo ya kazi ni rahisi uandishi ( copy...
Habari,
Mimi ni binti mwenye miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu course ya sheria nina uhitaji wa kazi yoyote hali ya kuniingizia kipato hata iliyo nje ya field yangu.
Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.
Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au...
Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi.
“Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia.
Balozi Mwadini alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa kwa njia ya video moja kwa moja kutoka Riyadh, Saudi...
Bwana Yesu Asifiwe!
Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!
Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.
Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
Habarini
Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk.
Nikiwa mdg miaka 13...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara kwa kusababishia hasara na matumizi mabaya ya madaraka.
Waliosimamishwa kazi ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha...
Habari wana jamvi.
Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo.
Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi.
Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
Hello teachers!
our organization is working closely with private and government schools, we admire to serve young people who possess marvelous performance in the learning and teaching field.
The organization is recruiting teachers on behalf of private schools in Tanzania's Mainland. The...
Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
Ndugu ni matumaini yangu ni wazima.
Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe
Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na...
Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022.
Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Ruto...
Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.