Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

geekizuri02

Member
Oct 16, 2022
19
58
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia uliutoa katika slot ipii? Niwakumbushe tu kazi ni kazi jamani, ilimradi mkono kinywani😄
 
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane... Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia uliutoa katika slot ipii? Niwakumbushe tu kazi ni kazi jamani, ilimradi mkono kinywani
Kuhesabu magali ya watu na majengo na maduka
 
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane... Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia uliutoa katika slot ipii? Niwakumbushe tu kazi ni kazi jamani, ilimradi mkono kinywani
Uchawa na Ukunguni inategemea na mishe na pahala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom