Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

Annonymous

JF-Expert Member
May 9, 2013
448
798
Habari wana jamvi,

Natafuta kazi yoyote ya halali,

Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography

Umri: Miaka 28

Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba

Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing)

Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa computer na simu, pamoja na matumizi yake (experty level), Excel, word, publisher n.k (microsoft office packages), kufundisha, huduma za miamala (mobile money transfer), KYC applications, kusimamia mauzo ya maduka kawaida na kwa kwa kutumia mifumo mbalimbali kama tally na excel spreadsheets.

Mawasiliano yangu ni

WhatsApp, call or txt messasge 0784267282
 
Beba documents zako zote peleka pale ilipokuwa wizara ya Afya zamani na ustawi jamii postal, jengo linatazamana na IFM, Kuna shule pale imefunguliwa ya kishua wanataka sana waalimu vijana. Shule imejaa wahindi na waarab! Nenda pale, utapata ajira ila ujue kujielezea.

KILA LA KHERI!
 
Umeniwahi mkuu jamaa anataka kazi nje ya mipaka ya Tanzania ila hata akiambiwa ipo Namibia nenda hawezi kwenda.
Inategemea na maslahi, kwa mfano kazi ya TZs 15M hata iko italy (mfano tu) unafikiri passport inaweza kuwa kikwazo.sante
Beba documents zako zote peleka pale ilipokuwa wizara ya Afya zamani na ustawi jamii postal, jengo linatazamana na IFM, Kuna shule pale imefunguliwa ya kishua wanataka sana waalimu vijana. Shule imejaa wahindi na waarab! Nenda pale, utapata ajira ila ujue kujielezea.

KILA LA KHERI!

Inakuaje unakosa kazi wakati ni fundi
Sio kwamba sina kazi kabisa ni na kakitu kadogo ambako nimekuwa nikikafanya kwa mwaka wa 3 sasa kuelekea wa4. Ila naona kuna haja ya kwenda mbele kidogo, niongeze connections, maslahi kiasi fulani na kubadiri mazigira ya kazi kijografia, kijamii na hata kuongeza watu naohusiana nao. (Nikue zaidi)
 
Beba documents zako zote peleka pale ilipokuwa wizara ya Afya zamani na ustawi jamii postal, jengo linatazamana na IFM, Kuna shule pale imefunguliwa ya kishua wanataka sana waalimu vijana. Shule imejaa wahindi na waarab! Nenda pale, utapata ajira ila ujue kujielezea.

KILA LA KHERI!
Sawa
Nimeuthamini mchango wako
 
Inategemea na maslahi, kwa mfano kazi ya TZs 15M hata iko italy (mfano tu) unafikiri passport inaweza kuwa kikwazo.santeSio kwamba sina kazi kabisa ni na kakitu kadogo ambako nimekuwa nikikafanya kwa mwaka wa 3 sasa kuelekea wa4. Ila naona kuna haja ya kwenda mbele kidogo, niongeze connections, maslahi kiasi fulani na kubadiri mazigira ya kazi kijografia, kijamii na hata kuongeza watu naohusiana nao. (Nikue zaidi)
Vp ufundi simu na computer unalipa, nataka niingie huko
 
Jamaa spelling ya fluently hajakosea Yuko vzuri
Screenshot_20230814-113117.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom