Kazi au internship Mwanza, (BA Community Development)

Dinah16

New Member
Jun 10, 2023
4
4
Habari Wana JF,

Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote.

Shukrani
 
kama upo mwanza nitafute tupeane tafakuri chache,hata mm nipo kwenye safari ya kusaka ajira kwenye mashirika
 
Back
Top Bottom