Meli yenye Mitambo ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) yawasili

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,995
Meli kubwa ya kwanza MV Innovation Way kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu iliyobeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).

kutoka Hoima, Uganda hadi mkoani Tanga.

imewasili katika bandari ya Tanga.

Meli hiyo imebeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa gati kubwa la meli za mafuta litakalojengwa eneo la Chongoleani.

FB_IMG_1693060444951.jpg
 
Back
Top Bottom