📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,876
10,593
Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel.
🔍 Majukumu:

  • Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa.
  • Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi.
  • Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field.
  • Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya kazi na changamoto yoyote yanayojitokeza.
  • Kufanya kazi kwa ushirikiano na timu ya wenzako na kutoa taarifa kwa wasimamizi.
📋 sifa:
  • elimu ni certificate, diploma au degree
  • Uwezo wa kufanya kazi kwa usahihi na kujitegemea.
  • Uwezo wa kuelewa na kufuata maelekezo ya kazi.
  • Uzoefu katika kukusanya data au taarifa ni sifa ya ziada
  • Uwe na Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti tofauti ndani ya jiji la dar es salaam
Muhimu:
mwombaji awe mkazi au mwenyeji wa mojawapo katika maeneo haya maana ndio kazi itapofanyika kwa sasa
  • sinza, mwenge, kijitonyama
  • mwananyamala, Kinondoni, osterbay
  • mikocheni kawe, mbezi chini,Bahari beach na ununio
  • mbezi juu, goba, salasala, mbezi lous, kimara na ubungo
  • tegeta, boko, bunju, bweni
Nitumie ujumbe mfupi kwa nambo 0769 055050 ili nikupe maelekezo ya nini cha kufanya kabla ya kesho jioni.
 
Duh! Ukiona matangazo ujue maslahi haina, mchongo wenye pesa ya maana kimya kimya wanakusanyana
 
Home appliances Distribution ( HAD,)
hapana si kazi ya field ya kuwa distributor wa vyombo :D :D :D :D bali ni usimamizi wa watu wataokuwa huko mtaani kwa kazi maalum tu na haihusini kabisa na bidhaa zinazoshikika..
 
Duh! Ukiona matangazo ujue maslahi haina, mchongo wenye pesa ya maana kimya kimya wanakusanyana
sio kweli mimi jana mapema nilileta bandiko na kikafanikiwa na ndio matokeo ya bandiko langu la jana so sio kila unachokiona ni kupotezeana muda vijana mmekata tamaa kabisaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom