Ombi la Kazi

thee kid

Member
May 13, 2019
64
48
Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza.

Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu jukwaani anaeweza nisaidia kupata kazi anisaidie...

Pia Nina ujuzi wa Kutosha wa kutumia kompyuta hasa katika mambo ya Graphics designing

NAOMBENI msaada wakuu wangu

Mawasiliano yangu ni 0714189190 napatikana Vingunguti-Dar es salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom