kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira katika Jumuiya ya OACPS

    Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji unapenda kuarifu kuhusu uwapo wa fursa za ajira katika Jumuiya ya Nchi za Afrika Karibiani na Pasifiki OACPS yenye makao makuu Brussels Ubeliji ambayo Tanzania ni nchi Mwanachama
  2. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Kisangi agawa vitendea kazi kwa UWT ngazi ya kata hadi mkoa

    MBUNGE MARIAM KISANGI AGAWA VITENDEA KAZI KWA UWT NGAZI YA KATA HADI MKOA Atoa Jumla ya Viti vya Ofisi 214, Meza 107 pamoja na Majiko ya gesi 350. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es salaam (UWT) Mhe. Mariam Kisangi leo tarehe 25 Oktoba, 2023 amewezesha vitenda kazi kwa Ofisi za UWT kwa kata...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

    Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping ----- China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasiya kazi Konfa Enterprises Limited

    1.SALES MANAGER(3) 2.ASSISSTANT SHOP MANAGER
  10. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa anashabikia Yanga. Huyu jamaa alikuwa yuko tayari kukosana na wafanyakazi wengine sababu ya kubishana mambo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga

    Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu. Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

    Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

    Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake. Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yaanza kazi rasmi, Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Ileje

    Kama tulivyoeleza hapo awali ni kwamba ile kampeni kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , imeingia Kanda ya Nyasa. Baada ya kuzinduliwa Jana huko Tunduma, leo imeingia Ileje na kupokelewa kwa kishindo na wananchi wa...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais watumishi wote wa DAWASCO ningewafunga miezi 6 jela kisha ningewatoa waendelee na kazi

    Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani inatokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia. Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa...
  17. FirstbornTz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

    Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa Al Ahly ni wepesi tu, tunawaweza
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

    Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu. Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama...
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
Back
Top Bottom