Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo.
Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Kwani shuleni ulikuwa unafanyaje mkuu?
Shuleni tulikuwa wadogo na zama zile au zetu ilikuwa bado dunia haijavamiwa kama dunia ya leo ,makeup visigino vya viatu mitindo ya nguo ,namna mdada anavyokuangalia hujui kama anakwita au anakuuliza.mtihani kweli.
 
Back
Top Bottom