mdudu JF-Expert Member Feb 6, 2014 6,954 9,857 Oct 24, 2023 #3 Vijana waliomaliza chuo watatapeliwa Hadi wakome
Kiboko ya Jiwe JF-Expert Member Apr 7, 2020 12,716 36,187 Oct 24, 2023 #5 Bongo hali ilivyo ngumu ukiona tangazo la kazi shituka, labda kutoka serikalini ambako nako kupata ni mtiti
Bongo hali ilivyo ngumu ukiona tangazo la kazi shituka, labda kutoka serikalini ambako nako kupata ni mtiti