Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga!

Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa!

Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu afike huko, Sherti afe

Narudia tena, kufurahia kifo cha adui yako ni kuonyesha jinsi wewe ulivyoadui mkubwa zaidi yake na huna tofauti yoyote na unayedai kuwa alikuwa adui yako, yaani mtu unakuwa adui mpaka na mtu asiyeongea? Ujinga

Tumefunzwa hivi! Uadui ni ule mtu bado yuko hai, akifa, msamehe ili wewe usihukumiwe!

Afapo mtu, hukumu za wapi atakwenda na kwa nini, zibaki kwake yeye Maulana! Zaidi ya hapo, mwanadamu hana mamlaka juu ya uumbaji wa Mungu!

R.I.P kachero Membe

Bwana atoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
... hatufurahii kwa kuwa binadamu amekufa; bali twafurahia kwa sababu madhila na mateso yaliyosababishwa na matendo yake yamekoma! Umeelewa?
 
Duh

Lakini umeongea ukweli
... kajichanganya tu hamna lolote! Nani asiyefurahia kukoma kwa mzigo wa mateso aliyokuwa ametwishwa? Watu waliumia; watu waliteseka! Hata kwenye familia akifa baba mwovu kwa familia yake hawatafurahi kwa sababu baba kafa; bali watafurahi kwa sababu mzigo wa mateso umekoma!
 
... hatufurahii kwa kuwa binadamu amekufa; bali twafurahia kwa sababu madhila na mateso yaliyosababishwa na matendo yake yamekoma! Umeelewa?
STUPIT! NONSENSE! ni madhila gani umeyapata kwenye hii post
 
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga!

Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa!

Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu afike huko, Sherti afe

Narudia tena, kufurahia kifo cha adui yako ni kuonyesha jinsi wewe ulivyoadui mkubwa zaidi yake na huna tofauti yoyote na unayedai kuwa alikuwa adui yako, yaani mtu unakuwa adui mpaka na mtu asiyeongea? Ujinga

Tumefunzwa hivi! Uadui ni ule mtu bado yuko hai, akifa, msamehe ili wewe usihukumiwe!

Afapo mtu, hukumu za wapi atakwenda na kwa nini, zibaki kwake yeye Maulana! Zaidi ya hapo, mwanadamu hana mamlaka juu ya uumbaji wa Mungu!

R.I.P kachero Membe

Bwana atoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe
Ipo siku na si nyingi, tutawahoji ndugu wa marehemu kama na marehemu wao ni wabaya. We ngoja tu!!
 
Taifa limefka pabaya, na hii hali hakuna wakuidhibiti, iliandaliwa na mwendazake pale alipoligawa Taifa vipandevipande...mungu atusaidie turudi kwenye mstari
 
Back
Top Bottom