Wanaume heshima yetu kauli mbiu yao ni kuwa tuwapelekee moto

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello,
Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia

Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine tutajua mbele.

Pamoja na kauli mbiu yetu tukufu ya kutafuta pesa na kuvimba kwenye matumizi.

Wito wa msingi kabisa wanawake kwenye vikao vyao wanasema tuwapelekee moto mkubwa yaani shoo shoo.

Tuishi kwa kufuata hio kanuni Moto Moto tuwapelekee moto.

Nawasilisha

Ila mkuu, ile kitu haikomolewi, unaweza jikuta kesho yake unatembea kama una mabusha.
 
Mkuu yaani wao ndio wanataka na wasipopewa moto wanachukia sana jitahidi kuupeleka moto vilivyo kula Shiba haswaa
 
Back
Top Bottom