Specialist wa Range Rover anawezaje kuzungmza kauli kama hii?

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka.

Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video. 👇🏾

Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa zishapigwa(V8 engine), maana ilishapita kwa mafundi kadhaa.

Sasa gari inawaka lakini inakosa nguvu na kuna muda inazima, pia inabugia sana mafuta, kumbuka gari ikishakuwa na AF sensor na O2 sensor haya ni mambo ya kawaida kabisa.

Sasa huyo mzungu katika kuhangaika kutafuta hizo sensor ndio akakutana na hiki kilichofanya nifungue huu uzi.

Kuna jamaa ana Garage yake kubwa tu na Huyu mzungu amemterm kama Specialist wa Range Rover.

Huyo jamaa alimshauri kwamba "Kuna special pump ya Range Rover ambayo yenyewe inapeleka mafuta exact kama yanavyotakiwa kwenye engine bila kuhitaji hizo O2 sensor"

Screenshot_2023-05-28-19-23-40-291_com.whatsapp.w4b.jpg

Logically alichokisema anamaanisha hizo sensor zinacontrol fuel pump kwamba ipeleke mafuta kiasi gani kwenye engine, kitu ambacho siyo kweli.

The worst kamdanganya Layman wa magari, Lakini mpaka huyo aliyedanganywa kashtuka kwamba hapa napigwa sound.

Me nmekataa nmemwambia hicho anachosema huyo jamaa kinaweza kufanyika kwenye engine computer (ECU), Otherwise ajiandae kupoteza hela au kuharibiwa gari.
 
Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka.

Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video.

Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa zishapigwa(V8 engine), maana ilishapita kwa mafundi kadhaa.

Sasa gari inawaka lakini inakosa nguvu na kuna muda inazima, pia inabugia sana mafuta, kumbuka gari ikishakuwa na AF sensor na O2 sensor haya ni mambo ya kawaida kabisa.

Sasa huyo mzungu katika kuhangaika kutafuta hizo sensor ndio akakutana na hiki kilichofanya nifungue huu uzi.

Kuna jamaa ana Garage yake kubwa tu na Huyu mzungu amemterm kama Specialist wa Range Rover.

Huyo jamaa alimshauri kwamba "Kuna special pump ya Range Rover ambayo yenyewe inapeleka mafuta exact kama yanavyotakiwa kwenye engine bila kuhitaji hizo O2 sensor"

View attachment 2638437

Logically alichokisema anamaanisha hizo sensor zinacontrol fuel pump kwamba ipeleke mafuta kiasi gani kwenye engine, kitu ambacho siyo kweli.

The worst kamdanganya Layman wa magari, Lakini mpaka huyo aliyedanganywa kashtuka kwamba hapa napigwa sound.

Me nmekataa nmemwambia hicho anachosema huyo jamaa kinaweza kufanyika kwenye engine computer (ECU), Otherwise ajiandae kupoteza hela au kuharibiwa gari.
huwa inanishangaza kuona fundi hatumii akili anawaza kupiga pesa bila kijali kuwa huyo mteja kesho hatokuja tena!

Huwa napenda kumuona fundi anapokea tatizo lako kama la kwake, anapambana anaumiza akili kiasi kwamba hata ikitokea imeshindikana anaumia kwa kushindwa kutatua changamoto za mteja!

Nakukibali sana Bro Ishallah Mungu akijaalia nikichukua chuma lazima nikucheki mkuu
 
Back
Top Bottom