katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM tunaomba utembelee Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, vijiji vyote Tangu uhuru havijawahi kupata maji safi na salama

    Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo. Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:- Itumbi Kisimani Makatang'ombe Matondo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

    Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 . Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate Katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa, Jokate Mwegelo

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UVCCM Lulandala ana umri gani? Mbona kama umri umesogea?

    Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM? Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

    Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe . 2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)...
  11. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    CWT ni laana!! Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A? Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

    Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council. The world has changed. Global governance must change with it. We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world. Chanzo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'. Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu...
Back
Top Bottom