Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa...
Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi.
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
Kuuliza sio ujinga.
Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ?
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
- AMESAJILI ENEO LA CHAMA KWA JINA LAKE
Mheshimiwa Katibu Mkuu wetu mpendwa Daniel Chongolo, sisi wanachama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Wazo tunaomba uunde timu maalumu ya kuchunguza ubadhilifu mkubwa au matumizi mabaya ya madaraka ‘Ufisadi’ unaofanywa na Katibu wetu wa CCM Kata ya...
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.
Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi.
CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi.
Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe
Kama tunavyofahamu kwa mujibu wa Mwongozo wa Uwajibikaji wa Maafisa Tarafa katika Wilaya na Halmashauri za Serikali za Mitaa wa tarehe 18 Desemba, 2003 pamoja na Sheria iliyofanyia marekebisho Sheria za Serikali za Mitaa namba 13 ya mwaka 2006 Majukumu ya...
Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!
Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK.
Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo.
Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini.
Badala ya...
Niwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera.
Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account).
Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya...
Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
Habari wana JF,
Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina.
1. Mapitio ya sera ya Elimu.
2. Mapitio ya mitaala kwa...
Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.